9/11 versus 11/9

Kwan maamuzi yamefanywa siku ya kutangaza au yanafanywa kwenye kupiga kura?
Ushirikina tu. mambo yote yanafanyika kwa uwezo wa mungu wala si kwa kumi na moja. kwahiyo hapo tueleweje? 11 ndo nzuri au mbaya?
 
Ushirikina tu. mambo yote yanafanyika kwa uwezo wa mungu wala si kwa kumi na moja. kwahiyo hapo tueleweje? 11 ndo nzuri au mbaya?
Hivi kwanini ushirikina unapewa sura ya kutisha kiasi hiki?
 
Mkuu..
Mshana jr
Mimi naungana na wewe, sababu hawa wenzetu/wazungu hutumia akili kubwa kwenye kila jambo..na siku zote wao hupanga mambo yao na huyatimiza muda unapo wadia..

Kuna maswala machache kwenye upande wetu/weusi hatujaumbiwa utamaduni wakuwaza ya mbele na kuwaridhisha vizazii bali tumetumbukia kwenye imani/ukristu/uislam zinazo tufanya watumwa wa fikra...na kila jambo ni kusukumia Mungu au Shetanii..

Hii herufii 11 kama ndugu "Shiu yang" alivyoifafanua inamaana kubwa kwa wale wanaoitafsiri dunia kwa Mapana..
 
Naamini hesabu hizi. Najaribu sana kuunganisha na maneno ya Bible ni ya muda mrefu sana lakini ukihesabu yanatembea na kufika sehemu inayotoa majibu ambayo Bible imetaja. KITU KIMOJA, KWA MTAZAMO WAKO NA KWA HESABU KAMA ULIVYOANDIKA, KUMBE TUNAWEZA KUWEKA UTABILI WA MATUKIO YA HESABU ZAO NA TUKAMATCH KABISA, KWA KUWA NAMBA ZINAFAHAMIKA. SI NDIVYO, AU BADO ITAKUWA VIGUMU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…