9/11 versus 11/9

Kwan maamuzi yamefanywa siku ya kutangaza au yanafanywa kwenye kupiga kura?
Kwenye uchaguzi kuna mambo matatu muhimu muhimu kupiga kura kuhesabu na kupata mshindi! Matokeo ya ushindi ndio huleta mengine yote
 
Kwenye uchaguzi kuna mambo matatu muhimu muhimu kupiga kura kuhesabu na kupata mshindi! Matokeo ya ushindi ndio huleta mengine yote
endelea kupambana mkuu formula yako unayoilazimishia iwe..
 
Ondoa ushirikina wa kiarabu
 
Asante sana shiu yang uchambuzi umekuwa mzuri na wa kina yatakayoongeza ni kidogo sana japo kimsingi kila kitu nilichotaka kuandika kiko hapa kwa undani wake
 

 
Mshana huwa kuna mambo tunakubaliana lakini kwa hili tusitafute uongo wa namna yoyote kuongopea watu. Uongo wowote. Hizo ni tarehe tu kama ambavyo ingekuwa 10/11/2016 na hapo wanajimu uchwara na wana consiracy wangekaa na kutunga cha kutunga. Hamna lolote kiuhalisia ni tarehe tu na hil halimaanishi kuwa after 11/9 basi hiyo tarehe hakuna tukio lingine litatokea. Najua kuna watu hutaka kuonekana ni wanajimu wa namba hivyo watajaribu kukokotoa kila tarehe ifiti kwenye mawazo wanayokuwa nayo. Ukitafuta hata tarehe ya leo 10/11 kuna tukio liliwah kutokea miaka kadhaa hivyo uchaguzi ungefanyika leo bado watu wangehusisha na mambo ya Freemason, illuminati,conspiracy,nwo na tabiri mbalimbali mwisho wa siku its just a date lile any other date. Tukubali kuwa wakati mwingne hatuna jjipya katika haya.

Si kila jambo we can get sme credit au tunaweza onesha ujuzi na utaalam wetu kana kwamba watu wote humu JF dont think properly.

Ni maoni yangu tu katika kusaidiana watu wasijenge chuki. Huu ni mtizamo wangu.
 
Watu bwna. Hata uchaguzi ungefanyika leo basi hesabu zingefanyika ipatikane 11 au namba wanayotaka.na ndo maana inapopatikana 77 inagawanywa kwa 7 ibaki kumi na moja uhusiano wa hii saba na 11 unakuja wapi?hapo namba zinge fanyiwa magazijuto zingeleta maana waliyotaka. Dunia ya sasa ina wapiga deal wengi, waongo waongo ma wanafiki. Utatafutwa mwaka,siku,tarehe na saa ya kuzaliwa donald trump nayo itafanyiwa MAGAZIJUTO italetewa maana wanayotaka.




 
Sodoku binafsi siwezi kujenga chuki kwa sababu ya mtazamo ni wazi hatuwezi kwenda sawa wala kukubaliana kwenye kila jambo! Hii post ni mojawapo
Na kupitia hii hii post bado tutakuwa na pande mbili wanaokubali na wanaopinga, kikubwa ni kwamba tupingane kwa hoja na heshima bila maneno ya kuudhi
 
Kutokujua kwako
Si wote hawajui
Bali mpumbavu mwache na upumbavu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…