RuwaIkunda
Senior Member
- Nov 2, 2017
- 156
- 278
Habari. Naomba kuuliza wapi naweza kupata DVD za 8GB, mimi nipo Dar Es Salaam. Naomba mnisaidie namba ya muuzaji anayeuza, nina shida nazo.
Ndio, ni 8.7 GBhv huwa zipo dvd za gb 8??
ngoja waje.
Nimeenda huko, hamna. Una namba ya simu ya muuzaji?K/koo mtaa wa Msimbazi
Ngoja kesho kuna sehemu ntakuchekia hazikosekani hizoNimeenda huko, hamna. Una namba ya simu ya muuzaji?
Asante sana, ndugu. Mbona kinya sana ndugu, hujanijulisha.Ngoja kesho kuna sehemu ntakuchekia hazikosekani hizo