Nakubaliana na wewe,mimi nimesoma UDSM,swala la discontinuation ni vitu vya kawaida.Lakini asilimia 28% ni kubwa mkuu ukubali au ukatae huu utabaki kuwa ukweli.Nilisema chuo kinaweza kuwa na matatizo kama ifuatavyo:Mkuu, kwani cha ajabu ni nini hapo.., hiyo percentage au?!
Ina maana hata kama wanafunzi hawajitumi kutimiza sehemu yao ya kazi kama dissertation basi ni kuwabeba tu ili mradi wa-graduate..?!
Hata kwenye vyuo vikongwe kama UDSM na SUA wanafunzi huwa wana-disco (discontinue) sembuse SAUT?
Nakubaliana na wewe,mimi nimesoma UDSM,swala la discontinuation ni vitu vya kawaida.Lakini asilimia 28% ni kubwa mkuu ukubali au ukatae huu utabaki kuwa ukweli.Nilisema chuo kinaweza kuwa na matatizo kama ifuatavyo:
*Kilidahili wanafunzi wasikuwa na sifa ndiyo maana wameshindwa kumudu masomo.
*Chuo kinaweza kuwa hakina walimu wa kutosha
*Chuo kinaweza kuwa na walimu ambao hawana ubora unaotakiwa
*Chuo kinaweza kuwa na utaratibu mbovu unaosababisha baadhi ya wanafunzi kufeli
To me acceptable failure rate is 10%,above this level it is questionable!
Mkuu,sababy ya kwanza (blue) nakubaliana nayo 100%.
Sababu zilizobakia (red) sikubaliani nazo.
Kumbuka 28% inajumuisha na wanafunzi ambao hawakuweza ku-graduate kwa sababu hawajamaliza kulipa ada!
Pia wanafunzi wengi wa siku hizi hawajitumi kabisa, usharo na usista du mwingi, wanategemea kutafuniwa kila kitu.., hebu fikiria mwanafunzi ambae anashindwa hata ku-submit dissertation yake huyo utamweka ktk kundi gani??
Pia kumbuka kuwa mitaala ya hiki chuo imehakikiwa na kupitishwa na TCU.
Kumbukeni pia kwa SAUT, minimum pass (karai) ni marks 50-59% na si 40-49% kama UDSM na vyuo vingine vingi hapa Tanzania.
Kama minimum pass ingekuwa kama ya hivyo vyuo vingine, % ya failure bila shaka ingepungua zaidi.
emu rudia, WAKUFUNZI WABOVU??? ?Kutoku-graduate ni ku-maintain quality kivipi!!!!!!!? Inawezekana wamefeli kwa sababu hawakuelewa waliyokuwa wanafundishwa kutokana na wakufunzi wabovu . Je hapo napo wanamaintain quality!!!!?
ver 800 students form Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) will not be confered with their degrees this year after they failed to meet academic requirements to graduate.
The students are from different departments at the universitys main campus in Mwanza, including some from the Department of Journalism and Mass Communications as well as Education.
SAUT Deputy Vice Chancellor for Academic Affairs, Dr Thadeus Mkamwa told Daily News that a total of 2,817 students were expected to graduate this year (November 24), but at least 514 male and 314 female students have failed to meet the academic requirements to do so.
The number of failures is unprecedented at our university, but we want to ensure academic excellence thus students who graduate here have to meet the stipulated academic requirements, he said.
The Head of Department (Journalism and Mass Communications), Ms Imane Duwe expressed concern over what she termed as alarming number of failures, saying that in the department alone 84 out of 119 finalists, which is 70 per cent, have not qualified to graduate this year.
Dr Mkamwa observed that among the main reasons for students to fail to graduate this year include incomplete courseworks, studentss failure to submit their research work (dissertation), abscondment and others due to failure to pay their tuition fees.
He reassured the public that the institution will continue to take all neccessary measures to promote quality education in the country with the aim of producing competent individuals to compete in both the local and international market in their various professional fields.
Mkuu, hebu tusaidiane katika haya, Unamaanisha nini kwa kusema
1. Kwa 80% pass rate HUHITAJI USHAHIDI mwingine?.dont you think you are a little bit biased?
2. ni kama vile Vyuo kama CBE, IFM, TIA n.k?..dont you think that is too harsh?
3.Tatizo si chuo..How can you tell, mwalimu?
Nimefurahi sana kupata comment zako wewe kama mwalimu!Kwa hiyo chuo kinachotoa wanafunzi wachache kati ya wale wengi waliodahiliwa ndio chuo bora?vipi kile chuo kilichodahili wanafunzi wenye kiwango kidogo cha alama za ufaulu kipimo hicho kinaweza kuwa sahihi?Vipi uoni kuwa uzembe wa management ya chuo unaweza kufichwa na hicho kipimo?
kama 28% inajumuisha na wale walioshindwa kulipa ada,hapo sina shaka tena.however,mitahara kuhakikiwa na tcu is not a big deal,mara ngapi katika maisha yako umeshawahi kutumia bidhaa ambazo zina nembo ya tbs lakini hazina ubora unaotakiwa?nazani utakubaliana na mimi kuwa hata cbe pia mitahala yake imehakikiwa na tcu.
Precisely,I am very open,this is my sentiment!are you trying to underestimate cbe and other colleges of the same type??
Precisely,I am very open,this is my sentiment!
Consult your dictionary!"SENTIMENT'">>> YOUR INTENTION WAS "STATEMENT" OR?
ungekuwa unasoma SAUT ndugu labda ungeelewa jinsi gani wapo strict kuanzia administration hadi kwa wanafunzi wao, fanya research kabla ya kupost...Walipokea vilaza wakaramba mshiko wao(ada) wakawapika bila kujali kuwa wanahitaji moto mwingi, wamefubaa ndio mnashtuka.
Hongera SAUT kwa kubweteka na heshima ya mavazi ya wanafunzi huku mibongo yao mkiiacha izidi kuoza!