Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,285
- 39,490
Wanajukwaa hope mko fine, nitaenda direct kwa topic.
Wanaume wengi wamekuwa wakichochea kauli mbaya na za kukatisha tamaa sisi tunaosomesha, nasema mshindwe kwa jina la Yesu.
Kama wewe unamlipia demu wako pesa ya hostel, sijui chakula nk huko ndo kusomesha sasa, sio lazima ulipe ada.
Mimi binafsi namsomesha dada mmoja nilimzalisha 2016. Alikataa kutoa hatimaye alifukuzwa kwao akaenda kuishi na mama mdogo wake mpaka mtoto now kawa mkubwa.
Mzee wake alikataa kumsomesha hivyo mimi namsomesha japo sina feelings nae kabisa, but nasomesha kwa kuwa nilikatisha masomo yake na amenizalia handsome boy.
Kama umeamua kumsomesha mpenzi wako hata usiogope, wewe msomeshe. Fanya kwa moyo tu huwezi jua huyo unayemsomesha atakuja kuwa msaada kwako.
Achana na mambo ya watu sijui mpenzi/mke hasomeshwi. Hao wanaosema hivyo ndio wanasomesha.