Mods tafadhali naomba muondoe hii advert, huyu mie nilimchukua nina week sasa nashangaa hii advert bado imewekwa hadi leo, maana yake nini sasa kama sio kunidhalilisha kijinsia? mie tayari niko na bibie home tunafaidi matunda ya uvumilivu na ustahimilivu wetu