Hahahahah
Kuna jukwaa la Mastress hapa JF?
Hivi bado upo jamani?
Ha ha ah
Hapana King'asti
Hajaonekana hapa mwezi mzima . . .lolz
hehe, nlistuka banaa! manake usije ukawa unamaanisha mambo ya ku-rest in peace. nna family interest hapo sipiyuu, kaa standby,lol!
asante kwa hints za dating games, manake nataka nianze kumuwinda kakake ashadii. ngoja nijipange
kwanini asiwe CPU . . . .lolz?
Wala....kwani we unaniona?!Hivi bado upo jamani?
Wifi....wanaojiwindisha ogopa kabisa!!!hehehe, kumbe na ww kitoweo eeh! owky, noted,lol!
Kama ndo hivi, basi endelea kwa Kaka ake Asha Dii
Khaaaaaaa!
Wifi....wanaojiwindisha ogopa kabisa!!!
hehehe, mara hii umegahiri, lol! ume-apply rule #3, na mie nikahusisha #5 (my door just broke, i need a fundi haraka sana). usijali kuwa kitoweo changu, i include moga za majani na matunda pia, sitakumaliza,lol