5N Pub Kimara Temboni

5N naona club ya kishamba shamba sana. Wanafanya mamboyao kama vile tuko Makete.
 
Mwanzoni alikuwa kimara suka ukivuka shell kushoti akabomolewa akaja hapa baruti hii njia ya hapa shell kama unapita hii dmshort cut ya kuja kutokea huku chuo saa hivi ndo kafunga mtaa yaani siku hizi kila kitu starehe zote zimehamia pale
Kumbe Kuna five eni nyingine tofauti na ile ya pale opposite na mlimani city Sam nujoma Rd?
 
Aisee nimekaa Temboni zaidi ya miezi 8 ils jana ndio bodaboda kanitonya kihusu hii bar ingawa kwa mbele inaonekana ya kawaida tu. Nataka kesho niingir nipaone.
Ile taa ya juu nilikua najua ni ya Tembon Resort kumbe ya 5N
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…