kisokolokwinyo20
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 472
- 424
Lengo lako ni nini Mkuu. Tuanzie hapo.Wakuu Naambiwa Maeneo Ya Kimara Temboni Imefunguliwa Bar Inaitwa 5N Kama Ile Iliyokuwepo Kimara Suca Hapo Awali. Naomba Kufahamishwa Ipo Temboni Maeneo Gani.
Wasalaaam,
Mjumbe Chama Cha Wanywa Bia (Walipa Kodi)
Siyo tako kama hilo tumbo kwenye avatar yako.Nilikuwepo jumamosi hapo na mchepuko wangu mpya una ta.ko kama kichwa cha treni
Wee kweli funza[emoji1787][emoji1787]Nilikuwepo jumamosi hapo na mchepuko wangu mpya una ta.ko kama kichwa cha treni
Lengo lako ni nini Mkuu. Tuanzie hapo.
Asee pale ni kama sebuleni bana5N kimara suka tumefanya laana sana pale dah! Mlimani tunajichoresha sana
Unapafahamu mkuu?Itabidi wahuni tutoke mitaa yetu tuzame 5N hapo
mpaka sasa hujatoka na una mpango huo?Nataka niende nikapate chupa kadhaa usiku huu wa leo
Lengo lako ni nini Mkuu. Tuanzie hapo.
Nilikuwepo jumamosi hapo na mchepuko wangu mpya una ta.ko kama kichwa cha treni
hapana il amaelezo tu ya humu basi napasaka ntapapata tuUnapafahamu mkuu?
Asee ndio nakunywa supu hapa nirudi nyumbani kupumzika then baadae nirudi kuendeleza libenekempaka sasa hujatoka na una mpango huo?
hiyo ngoma mpaka 12