Nxt Millionaire
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 406
- 89
Nimefuatilia ndugu yangu,nimeona ndani kuna forever living wakati Mungu kasema watu wote tutakufa,halafu mbona kuna nyuzi mbili za aina moja au una majina mawili mkuu? Na ile ya juzi imeishia wapi? Ni maoni mkuu,usinielewe vibaya.
Nakutakia kila la kheri. Inawezekana kabisa, hata hapa TZ kuna watu wanapata zaidi ya hizo tena si kwa ufisadi. Kaza buti KAKA.
Mkuu sijakupata wamaanisha nini, kwamba wote tufe sasa au?
Next millionaire hata mimi nina ndoto za kuwa millionaire ila tu nadhani njia tunazotumia kufika huko zinatofautiana kuwa na ndoto malengo au--- chochote utakachokiita ni jambo la kwanza kwani maisha ni kama safari ukiwa na ndoto au malengo unajua unakokwenda, taabu inakuja ni jee unatumia njia gani kufika huko kihalali au fisadi,utatumia usafiri gani kufika huko, kwa miguu, bajaji, ndege meli nk. Angalizo unaweza kufika huko with honor or without honor mkuu nitafute tubadilishane mawazo birds of the same feather fly together simu yangu ni namba 0755394701
Utakuwa umeota 50m zim dollar! maneno ya kijiweni hayo, fanya kazi za uzalishaji: acha mambo ya "shotkati"-utapata zaidi ya hiyo kwa wiki!
Uzi wako umeanza vizuri sana,
Niliposoma na kufika ktkt nikakutana na kitu kingine kinaitwa forever living,wakati ukweli ni kwamba hakuna biashara idumuyo milele chini ya jua. Lugha isikutishe,ila hiyo forever living ndio duh inatisha. Si kwamba siijui.
Kwa faida yetu, Saidia Jukwaa kuonyesha ni vipi malengo yaweza timia.......
Nimekusoama Smarter, bila shaka nitaonesha jinsi gani nimetimiza malengo hayo, nashukuru Mungu kwamba kwa mzwezi wa January nimefikia asilimia 10 ya lengo, najua kwa msaaada wa Mungu anayejibu maombi mwezi huu wa pili nitafikia kama si alilimia 100 ya lengo basi karibu yake kiduuuchu.
Asante sana mkuu na ubarikiwe, ni njia halali kabisa, no ufisadi, no shari, its by LEGAL MEANS.Mkuu.ngoja tukutakie kila la heri ktk kutimiza ndoto zako.ili mradi tu utumie njia za amani ktk kutekeleza malengo yako, usitumie njia za shari, au za kifisadi.Kila kitu kinawezekana chini ya jua kwake anayeamini na kutenda.GOOD LUCK MAN.