TUNAREKEBISHA KWANZA ;
1. rangi ya chungwa - nyanyembe jazz wala si serengeti hao ni wezi
5.maringo kwetu kawaida(uzuri wa tausi) oss -dingituka molay
8.kabibi (sam mangwana)si wa john ngereza
9. kuoana ni jambo la sifa ( harusi) patrik balisidya na afro sabini band
10. kadili kansimba( tancut alimas) na kyanga songa
15.homa imenizidia( oss-rehani) rehani bitchuka
17.jojina (safari trippers) umetungwa na uvuruge
21.mapenzi ya simu( moro jazz band-super volcano) na mbaraka mwinshehe
24. karubandika ( marquis du zaire) umetungwa na kasaloo kyanga ambaye ni amefariki wiki mbili zimepita akiitwa suleimani kyanga songa.
26. mwana mpotevu-marijani rajabu na dar international(fikiri kwanza ulikotoka usijifanye huna baba wala mama waliokulea kwa tabu nyingi....)
27. kipipa ayubu- rehani bitchuka na orchestra safari sound( nakushauli kipipa ayubu eeh ....)
28. zomboko amba- orchestra safari sound( umekuwa mtu wa makamo zomboko amba na mambo ya stare hukuyaanza leo.....)
29.tofiki- nation panasonic sound( tofikimkaka bado ninakupenda lakini hatuaminiani........)
30. nalala kwa tabu- ddc mlimani park orchestra( nalalaa kwa tabu mie walisema lisemwalo kama halipo laja ingekuwa ni ndoto hatamimi....)
31.wivu sio dawa- arusha kurugenzi jazz(muwaache wake zenu waende kazini wivu sio dawa.....)
32.hiba-ddc mlimani park orchestra( hiiiba imekuwaje mpenzi mbona umebadilika, ninapokuuliza utaki kusema na mimi......)
33.masafa marefu-tancut alimas wana kinyekinye kisonzo( ninakwenda safari safari yenye safari ya kikazi ninajuaa .........)
34.shemeji-biashara jazz band wana dundadunda( shemeji shemji hii wewe ni dada unamawazo ya busara ooh shemeji............)
35.nachunga heshima- uda jazz band( tulizaliwa woote kijiji kimoja lkn ulishindwa kunioa kwa sababuu ulisema sina tabia nzuriii oooh.......)
36.hamisa-orch matimila( hamisaa eeeh hamisaeeh nilitokea kumpenda hamisa wewe hamisiia. hamisa ni mtoto wa kigogo kila nikifikilia nikuhamishie dasalama lakini naogopa hamisa eeeh , kwa tunaishi nyumba za kupanga wenye majumba hutunyanyasa dasalama....)
37.nyerere- dar international( nyerere baba mlezii ooh nyerere mwana mapinduzi ooh sifa zako zimeenea babaa ...)