Wenzetu wanapo sherekea miaka 50 ya uhuru wao kisiasa,
sio vibaya nasi tukisherehekea miaka 50 kwa kutengeneza playlist
ya nyimbo bora zilizo vuma ndani ya miaka hii 50.
List yangu ni:-
1.Rangi ya chungwa............Serengeti band
2.Barua....................Les wanyika
3.Amigo..................Les wanyika
4.Ndoa ndoana..........Ottu jazz
5.Malingo kwetu kawaida.............Mbalaka Mushehe
6.Nalala kwa taabu......................DDC
7.Ishara ya Mapenzi................MK Group
8.Kabibi......................John ngereza
9.Kuoana ni jambo la sifa.............
10.Kadilika simba...................
11.Mapenzi kizungu zungu.............
12.Penzi mashaka.............
13.Bibi wa mwenzio ................Remmy Ongala
14.Penzi ulaghai.....................Washirika Stars
15.Homa imenizidi......................Jacob Usungu
16.Ngumi mkononi.............Jambo stars
17.Jojina..................Serengeti band
18.Fanta....................Papii kocha
19.Seya.........................Papii kocha & Nguza
20.Baba Paroko..................Makasi Junior
21.Mapenzi ya simu.............Samba mapangala
22.Stella.......................
23.Julie .............Bob Ludala
24.Karubandika ..............James Dandu.
25.....
Endelezeni,....ila bongo flavor zinaboa na hazina ujumbe wowote.
TUNAREKEBISHA KWANZA ;
1. rangi ya chungwa - nyanyembe jazz wala si serengeti hao ni wezi
5.maringo kwetu kawaida(uzuri wa tausi) oss -dingituka molay
8.kabibi (sam mangwana)si wa john ngereza
9. kuoana ni jambo la sifa ( harusi) patrik balisidya na afro sabini band
10. kadili kansimba( tancut alimas) na kyanga songa
15.homa imenizidia( oss-rehani) rehani bitchuka
17.jojina (safari trippers) umetungwa na uvuruge
21.mapenzi ya simu( moro jazz band-super volcano) na mbaraka mwinshehe
24. karubandika ( marquis du zaire) umetungwa na kasaloo kyanga ambaye ni amefariki wiki mbili zimepita akiitwa suleimani kyanga songa.
26. mwana mpotevu-marijani rajabu na dar international(fikiri kwanza ulikotoka usijifanye huna baba wala mama waliokulea kwa tabu nyingi....)
27. kipipa ayubu- rehani bitchuka na orchestra safari sound( nakushauli kipipa ayubu eeh ....)
28. zomboko amba- orchestra safari sound( umekuwa mtu wa makamo zomboko amba na mambo ya stare hukuyaanza leo.....)
29.tofiki- nation panasonic sound( tofikimkaka bado ninakupenda lakini hatuaminiani........)
30. nalala kwa tabu- ddc mlimani park orchestra( nalalaa kwa tabu mie walisema lisemwalo kama halipo laja ingekuwa ni ndoto hatamimi....)
31.wivu sio dawa- arusha kurugenzi jazz(muwaache wake zenu waende kazini wivu sio dawa.....)
32.hiba-ddc mlimani park orchestra( hiiiba imekuwaje mpenzi mbona umebadilika, ninapokuuliza utaki kusema na mimi......)
33.masafa marefu-tancut alimas wana kinyekinye kisonzo( ninakwenda safari safari yenye safari ya kikazi ninajuaa .........)
34.shemeji-biashara jazz band wana dundadunda( shemeji shemji hii wewe ni dada unamawazo ya busara ooh shemeji............)
35.nachunga heshima- uda jazz band( tulizaliwa woote kijiji kimoja lkn ulishindwa kunioa kwa sababuu ulisema sina tabia nzuriii oooh.......)
36.hamisa-orch matimila( hamisaa eeeh hamisaeeh nilitokea kumpenda hamisa wewe hamisiia. hamisa ni mtoto wa kigogo kila nikifikilia nikuhamishie dasalama lakini naogopa hamisa eeeh , kwa tunaishi nyumba za kupanga wenye majumba hutunyanyasa dasalama....)
37.nyerere- dar international( nyerere baba mlezii ooh nyerere mwana mapinduzi ooh sifa zako zimeenea babaa ...)
Mpenzi Luta....
Solemba... Nico Zengekala
Tufurahi kila Jumamosi.... Sikinde
Nasema Sina Ndugu...
Msafiri....
Usimchezee Chatu...
Neema - Chidumule... (Usipate taaaaabu uuu Neema uliyoyafanya sio mageni hapa Duniani eeeh! ikiwa ni Mapenzi eeeh Wapo waliopendana kama watoto mapacha eeeh eeh Kumbi kumbi oooh Wanapenda sana hata wakati wa kutembea utawaona A.D mbele Mlaleo Nyuma)
Kyembe.. Usipate tabu kyembe hakuna maneno mamaa aaah aaaah aaah hha uuuugh uugh uuuhhhh
Zuwena - Marijan Rajab (Zuwena mwingine sawa na yeye Mtoto aliyeumbika mwenye macho ya kupendeza Zuwena Zuwena kweli nampenda)
Marashi Ya Pemba....(Nasikia ni Kuzuri Jioni kuna upepo eti unanukia aah marashi ya karafuu nipae angani nikatishe anga)
Mwanza Nitarudi mwanza
ahsante kwa uzi huu,hapo namba 17 jojina ni safari trippers/marijan (RIP)
ngoja niongezee kidogo:
1.vigelegele ndiyo furaha .....western jazz
2. bembeleza mwana.......jamhuri jazz
3.nimempenda msichana....mbaraka
4. eeeeeee kidedea.......simba sports club
5. ccm ccm ccm Yanga sports club
wachawi na wanaoponda bongo flava sio kwenu tuuuuu,hata kwetu wapooooo.......sam wa ukweli
moyo wangu........diamond
heshima kwa mwanamke......fm academia
narudi kijijin...........best nassoro
Nibeebe Nibembeleze.....Rose Mhando
Waraka wa Hamani- Bahati Bukuku
Kidogo kodogo Nikinyatanyata - Tabata Choir
Watu na Wakushukuru - YCS Arusha
Kila Mtu atauchukua Mzigo wake Mwenyewe
Kwetu Pazuri - Christ Ambassadors
Yawee Uhimidiwe- Anjela Chibalonza..........
wimbo wa taifa......ni namba moja.
wimbo wa kwanza kupingwa mara baada ya taifa kutangazwa, unapigwa karibu kila siku, hauchuji, tune yake inajulikana na wazee, vijana na watoto maneno yake hayazingatiwi na viongozi wa nchi ...........................
Sababu ni nyingi tu.
uko fiti san kaka, hongera, utafikiri ulikuwepo enzi hizotunarekebisha kwanza ;
1. Rangi ya chungwa - nyanyembe jazz wala si serengeti hao ni wezi
5.maringo kwetu kawaida(uzuri wa tausi) oss -dingituka molay
8.kabibi (sam mangwana)si wa john ngereza
9. Kuoana ni jambo la sifa ( harusi) patrik balisidya na afro sabini band
10. Kadili kansimba( tancut alimas) na kyanga songa
15.homa imenizidia( oss-rehani) rehani bitchuka
17.jojina (safari trippers) umetungwa na uvuruge
21.mapenzi ya simu( moro jazz band-super volcano) na mbaraka mwinshehe
24. Karubandika ( marquis du zaire) umetungwa na kasaloo kyanga ambaye ni amefariki wiki mbili zimepita akiitwa suleimani kyanga songa.
26. Mwana mpotevu-marijani rajabu na dar international(fikiri kwanza ulikotoka usijifanye huna baba wala mama waliokulea kwa tabu nyingi....)
27. Kipipa ayubu- rehani bitchuka na orchestra safari sound( nakushauli kipipa ayubu eeh ....)
28. Zomboko amba- orchestra safari sound( umekuwa mtu wa makamo zomboko amba na mambo ya stare hukuyaanza leo.....)
29.tofiki- nation panasonic sound( tofikimkaka bado ninakupenda lakini hatuaminiani........)
30. Nalala kwa tabu- ddc mlimani park orchestra( nalalaa kwa tabu mie walisema lisemwalo kama halipo laja ingekuwa ni ndoto hatamimi....)
31.wivu sio dawa- arusha kurugenzi jazz(muwaache wake zenu waende kazini wivu sio dawa.....)
32.hiba-ddc mlimani park orchestra( hiiiba imekuwaje mpenzi mbona umebadilika, ninapokuuliza utaki kusema na mimi......)
33.masafa marefu-tancut alimas wana kinyekinye kisonzo( ninakwenda safari safari yenye safari ya kikazi ninajuaa .........)
34.shemeji-biashara jazz band wana dundadunda( shemeji shemji hii wewe ni dada unamawazo ya busara ooh shemeji............)
35.nachunga heshima- uda jazz band( tulizaliwa woote kijiji kimoja lkn ulishindwa kunioa kwa sababuu ulisema sina tabia nzuriii oooh.......)
36.hamisa-orch matimila( hamisaa eeeh hamisaeeh nilitokea kumpenda hamisa wewe hamisiia. Hamisa ni mtoto wa kigogo kila nikifikilia nikuhamishie dasalama lakini naogopa hamisa eeeh , kwa tunaishi nyumba za kupanga wenye majumba hutunyanyasa dasalama....)
37.nyerere- dar international( nyerere baba mlezii ooh nyerere mwana mapinduzi ooh sifa zako zimeenea babaa ...)