Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Mie nisipoona neno money my kaka kingreza kinakuwa hakipandi kabisaaaa
Naugua ugonjwa wa kuwamissMie nisipoona neno money my kaka kingreza kinakuwa hakipandi kabisaaaa
Naugua ugonjwa wa kuwamiss
Hahaaa na kweli
Uko kwenye kampeni nini mkuu
Naugua ugonjwa wa kuwamiss
Baba kij....
Ha ha haaa
Nakubaliana na wewe mia mia kwani na mimi napenda sana watoto hasa wa kike ila kwenye NO 3. KWA NAMNA FULANI SIKUUINGI MKONO au labda kwa mabinti wetu wa kiafrika
ukimfanyia sana hayo uliyoyasema ni kama utakuwa unamuweka kwenye wakati mgumu yeye mwenyewe kwani kumbuka lazima na yy aje kupata mume (mwanaume) sasa kama anajua kupendwa sana kunakuwaje atapata shida sana na wanaume maana atakua anapima na kulinganisha upendo anaopewa na hyo jamaa yake na wa baba yake ambao kimsingi utakua unazidi tu. (kumbuka upendo wa mzazi hauna vikwazo kwazo vya mapenzi)
nakwambia hutaweza kumtoa/kumhamisha kwa baba yake na huyo jamaa yake atapata shida sana, mkitofautiana kidogo tu hata kama yeye ndo ana makosa atakuona humpendi ipasavyo, na wengine hujisahau kabisa kuwasifia baba zao wanavyowapenda mbele ya jamaa zao.. sasa kwa mwanaume yyte yule hataweza kuridhika.
mf. anaweza kuweka kwenye prof pic za baba yake na kusema maneno kama "hamna mwanaume kama huyu duniani"
hebu fikiria kama wewe ni mume wake au mpenzi..
kama huamini fanya kinyume chake, onyesha mapenzi makubwa kwa mama yako uone utakavyoleta matatizo
nahisi kama umenisema mimi vile, ila ninakuunga mkono 100% mtoto wa kike aliyependwa saana na baba hii hali lazima aipitie na lazima awe nayo tu haiepukikiNakubaliana na wewe mia mia kwani na mimi napenda sana watoto hasa wa kike ila kwenye NO 3. KWA NAMNA FULANI SIKUUINGI MKONO au labda kwa mabinti wetu wa kiafrika