Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 255
Jobs are available: There are many job openings in Tanzania for foreigners who are qualified. They offer competitive salaries and conducive accommodation options. If youre not able to find a job in your hometown, its always wise to look for opportunities elsewhere.
VISIT WWW.NAOMBAKAZI.COM FOR MORE ARTICLES
Locals sijui kwanini hawalipwi vizuri most of the time!!Ni kweli & ni kwa foreigners tu! Mpaka Mmarekani mmoja alikuwa anajishangaa mshahara na maisha anayoishi akiwa TZ (vs. elimu/profession yake ambayo locals wengi wanayo).
Pengine hiyo ndio hali ya maumbile ilivyo,mnakumbuka aliyosema Bwa. Yesu na hayo aliyasema maelfu ya miaka iliyopita lakini yanatokea leo na yataendelea kutokea:" NABII HAHESHIMIKI NYUMBANI KWAO" Kuna Waafrika wenngi ughaibuni wanaofanya vizuri. Wengine Pesa nyingi kwa kazi chafu.Ni kweli & ni kwa foreigners tu! Mpaka Mmarekani mmoja alikuwa anajishangaa mshahara na maisha anayoishi akiwa TZ (vs. elimu/profession yake ambayo locals wengi wanayo).
Ni kweli & ni kwa foreigners tu! Mpaka Mmarekani mmoja alikuwa anajishangaa mshahara na maisha anayoishi akiwa TZ (vs. elimu/profession yake ambayo locals wengi wanayo).
Pengine hiyo ndio hali ya maumbile ilivyo,mnakumbuka aliyosema Bwa. Yesu na hayo aliyasema maelfu ya miaka iliyopita lakini yanatokea leo na yataendelea kutokea:" NABII HAHESHIMIKI NYUMBANI KWAO" Kuna Waafrika wenngi ughaibuni wanaofanya vizuri. Wengine Pesa nyingi kwa kazi chafu.
Sasa ishu iko kwenye private companies who are able to hire outsiders for the posts that local candidates can qualify. But even in this case there is no one to blame but ourselves. here is why:
1. There is little enforcement from the government institutions. Private companies easily get away with hiring foreigners for jobs locals can do. I have seen it at Kunduchi hotel where electricians are from India - yaani wahindi wakuja!. I was pissed off.
2. Some of us have paper degrees but no ability to translate theory into practice. Our education system is part to blame. This is a big issue...
3. Some qualified Tanzanians who are working abroad, are not yet motivated to return and take their rightful positions. It seems that some people are not yet convinced of the enormous salaries that can be attained by working in Bongo. I personnel know of several posts that have been filled by foreigners because no qualified wabongo were found. I am talking about $5000 to $12,000. Some of these companies went out of their way to look for wazawa, lakini wala.
Jamani wenye Professional experience na makaratasi ya uhakika elekezeni Bongo....
Kuhusu elimu, msikilize huyu Mghana, Patrick Awuah, kwenye youtube.