Stanley Mitchell JF-Expert Member Joined Jan 2, 2014 Posts 4,574 Reaction score 4,073 May 3, 2017 #21 DAMAS EDWARD said: Nilirudisha Dukani, imerudi Samsung, nasubiri majibu kutoka kwao. ila inavyoonekana tv nyingi kubwa za model hiyo zinarudishwa cz niliwapigia cm juzi wakasema imerudi jana nyingine so sina imani na hizo tv tena, cjui kama watakubali ila nataka LG Click to expand... Poa mkuu ila mimi nina yangu ya nchi 43 model hiyo hiyo haijasumbua ina mwaka na nusu sasa. Ila kwakua wameipokea ni vizuri
DAMAS EDWARD said: Nilirudisha Dukani, imerudi Samsung, nasubiri majibu kutoka kwao. ila inavyoonekana tv nyingi kubwa za model hiyo zinarudishwa cz niliwapigia cm juzi wakasema imerudi jana nyingine so sina imani na hizo tv tena, cjui kama watakubali ila nataka LG Click to expand... Poa mkuu ila mimi nina yangu ya nchi 43 model hiyo hiyo haijasumbua ina mwaka na nusu sasa. Ila kwakua wameipokea ni vizuri
DAMAS EDWARD Member Joined Aug 14, 2012 Posts 12 Reaction score 2 May 17, 2017 Thread starter #22 Kwa wale wanaopendelea kufahamu kiundani zaidi kuhusu matatizo ya Tv, fuatilia video hiyo youtube.