400 job opportunities at Tanzania Red Cross Society

Ndege Tausi

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
992
472
Hizo nafasi zilitangazwa mwezi wa sita. Mwanangu aliomba na ametumiwa fomu kupitia email yake inayomtaka kuijaza halafu kuituma pamoja na kutuma shilingi 15,000/- kwa mtu anayejiita MKURUGENZI anaitwa HERENA ANGWILILE kupitia namba yake ya simu+255652 763 570. Je hizi nafasi ni za kweli kwamba zipo Tanzania Red Cross Society au ni utapeli?
Naomba mnisaidie kabla watu wengi hawajaibiwa.
 
Tapeli hao hakuna nafasi zilizotangazwa na red cross in matapeli wamefanya yao ili waibie watz
 
Hizo nafasi zilitangazwa mwezi wa sita. Mwanangu aliomba na ametumiwa fomu kupitia email yake inayomtaka kuijaza halafu kuituma pamoja na kutuma shilingi 15,000/- kwa mtu anayejiita MKURUGENZI anaitwa HERENA ANGWILILE kupitia namba yake ya simu+255652 763 570. Je hizi nafasi ni za kweli kwamba zipo Tanzania Red Cross Society au ni utapeli?
Naomba mnisaidie kabla watu wengi hawajaibiwa.
Mkono mtupu haulambwii lakn kaz yeyote ukiona unaombwaaa fedhaaaa uo ni utapeli kimbiaaaaa kama iyo oesa huna cha kufanyia ntumie ata mimi MUNgu atakubariki
 
Hao ni matapeli! Huwa wanajifanya kutumia jina la Ummy Mwalimu kisha wanaambatanisha hilo tangazo. Kuna muda watakuambia utume hela kwa ajili ya kupata kadi ya uanachama ya red cross ya haraka ili uweze kupata kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom