1GB shingapi??8gb ddr2 hakuna
4gb zipo chache mno
ninayo 4gb ddr2 pc6400
nauza elf 35000/=
nicheck whatsapp 0620552992 au sms za kawaidaView attachment 2028532View attachment 2028533
Hii Software ya Serato ndiyo inaleta challenge sana kuna muda ina drag na kushindwa ku operate vizuri, dawa yake huwa ni kutumia MacBook huwa haisumbui huko kwa sasa bado najichanga ila nataka mambo yazidi kukwama kwama at least ni upgrade RAM..
View attachment 2028097
Hiyo ya 4gb itanifaa pia make nikiweka itakua 6gb tayari..8gb ddr2 hakuna
4gb zipo chache mno
ninayo 4gb ddr2 pc6400
nauza elf 35000/=
nicheck whatsapp 0620552992 au sms za kawaidaView attachment 2028532View attachment 2028533
Aisee kweli bro kulitumia hili dude kwenye windows PC ni kama unalilazimisha tu, ila kwenye MacBook computer hata kawe kadogo tu kanali-handle vizuri mno hata huwa haidrag..Serato dj kilio cha wengi (windows)
Aisee kweli bro kulitumia hili dude kwenye windows PC ni kama unalilazimisha tu, ila kwenye MacBook computer hata kawe kadogo tu kanali-handle vizuri mno hata huwa haidrag..
Ila ukiwa na gaming PC halisumbui au kwenye powerful desktop computer, sasa u DJ wa kutumia desktop tena.. [emoji38]
8gb ddr2 hakuna
4gb zipo chache mno
ninayo 4gb ddr2 pc6400
nauza elf 35000/=
nicheck whatsapp 0620552992 au sms za kawaidaView attachment 2028532View attachment 2028533
Tafuta namna kujua model ya motherboard kama ni kuingia bios ama njia nyengine then google hio modelNipe hints hata sijui namna ya kuangalia motherboard kama ina support
1gb elf 101GB shingapi??
2Gb shingapi??
hii sinaView attachment 2035023
na hii unayo? ukijibu ni quote ili nione.