3G kwenye Moto E

kalendi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
1,387
Reaction score
645
Heshima kwenu wanajf! Nimepata moto e iliyotumika kaniletea jamaa. Haisomi 3G nipo maeneo ya Kibaigwa Dodoma. Nifanyeje ili isome naomba msaada kwenu wakuu.
 
Keyser Söze;14235162 said:
Itakuwa labda haiendani na bands za tanzania!

Kama hizi haziendani na Tanzania?
 

Attachments

  • Scr000043.jpg
    9.7 KB · Views: 95
Zinaendana, lakini umeacivate 3g kwenye laini unayotumia?

Hiyo kwenye laini ndio bado sijafahamu namna ya configurate nitahitaji msaada wako mkuu.

Lakini simu kwenye mobile networks ina sehemu mbili za kutiki kuna 2G na 3G na nimetiki 3G lakini bado inasoma E.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…