Wakubwa mambo vp?
Natumaini wote wazima.
Ndugu zangu nina tatizo kuhusu kuchakachua modem ya huawei e153,huwa napenda kutumia huawei modem unlocker ya temporaly,sasa pc ambayo natumia ni service park2 ambayo ni window ya old huwa haitaki kufunguka hii program Huawei modem unlocker,
sasa naombeni mnisaidie kuhusu kutatua hili tatizo,sasa nataka kupata elimu kuhusu 3g join air inafanyaje kazi kwenye kuchakachua hii modem yangu ya Huawei e153.
asanteni wadau wote kwa ushauri wenu ngoja niufanyie kazi
mkuu mbona imenishinda inaniletea mambo ya ma password kulikoni hapa?Kama huna Sp3 fanya hivi:-
1.download Rar file zote ktk link nitakayokupa
2.unRaR utapata file 1 la iso.
3.tumia iso burner utatoa windows sp3-2011 iliyo bomba
Download window [Free Cloud Storage - MediaFire]
mkuu mbona imenishinda inaniletea mambo ya ma password kulikoni hapa?
Www nae kigegeu mkuupoa mkuu,ila nilikuwa nataka kuweka ubuntu.
Www nae kigegeu mkuu