3D Render ya PSPF Towers Ndani ya Dar es salaam

giftcharles

Senior Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
147
Reaction score
77










Juzi nilifanya render ya jengo la BOT, leo nimeamua kufanya nyingine ya jengo la PSPF towers ambalo naamini saizi linaweza chukua nafasi kati ya majengo yanayolitambulisha jiji la Dar kwa sababu tu ya utofauti wake wa design, mchana mwema wakuu.
 
Rangi kama ya chama fulani ivi, au ndio wadhamini!
 
Duuh, sikuwa na wazo hilo kabisa kipindi nafanyia hii kazi, ila kweli, rangi ni zile zile, lazima kusudi
 
Duu, watu mmepagawa mpaka mmesahau rangi ya bendera ya nchi yenu? Kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…