mkuu sorry for delay,,,kwanza
pili ukinicheki via myphone utapata response mapema zaidi sishindagi umu mara kwa mara
tatu..ntakupa warranty as u pleased...sina tatizo juu ya hilo..1 month top
mwisho,,,nasafiri jumatano ya tar 11. ntarejea baada ya sikukuu za x mas..so ukitaka now au mwakani jan itakuepo nahisi,,maana ipo tu ndani