Tangu nimejiunga JF 2010 mpaka leo nimepata likes 29,927(Hizi hazihusiani na lile jukwaa ambalo hata ukijamba unapata LIKE). Nawashuru wote walio-LIKE posts zangu zinazofika 30,806. Kwa kuwekea mkazo shukrani zangu naahidi Vocha ya 10,000/- kwa mtu atakaekuwa wa 30,000 ku-Like posts zangu. Usijisifu una mbio wasifu na wanaokufukuza!
Update: Mshindi Heaven Sent kapata zawadi yake, ila baada ya Nyani Ngabu kusema ataweka $100 nimeona ni vizuri niongeze zawadi kwa mshindi ambayo ni perfume hio hapo chini. Unastahili zawadi hii HS sio kwa ku-Like tu posts zangu bali kwa michango yako humu JFView attachment 849021
Hahaaaaa.
Hongera sana.
Ila kuna watu wanatisha kwa idadi ya likes.
Ngoja niwahi zangu kwenda kule Kijiwe Fikra....
Bado siamini kwamba umeikimbia zawadi!
Wapendwa katika Bwana, leo imebidi nitafute na smartphone ili niconfirm kwa picha kuwa mzigo wangu nimeupata kama unavyoonekana hapo.
RRONDO yani leo maombi yote ni juu yako teh. You shall never lack anything IJN, siku zote ukawe na utoshelevu. View attachment 849624View attachment 849631
Amen....Wapendwa katika Bwana, leo imebidi nitafute na smartphone ili niconfirm kwa picha kuwa mzigo wangu nimeupata kama unavyoonekana hapo.
RRONDO yani leo maombi yote ni juu yako teh. You shall never lack anything IJN, siku zote ukawe na utoshelevu. View attachment 849624View attachment 849631
ShikamooView attachment 849632
Im allergic to counterfeit...mzigo nachukua fragranceshop.co.uk in short shopping nafanya London!
Uko fastaa.. kitenge nimekipenda ila perfume nimeipenda zaidi. Natamani kuja pm nashindwa ila nilifanikiwa kufanya ulichoniambia mama.Wapendwa katika Bwana, leo imebidi nitafute na smartphone ili niconfirm kwa picha kuwa mzigo wangu nimeupata kama unavyoonekana hapo.
RRONDO yani leo maombi yote ni juu yako teh. You shall never lack anything IJN, siku zote ukawe na utoshelevu. View attachment 849624View attachment 849631
Atakayependa hicho kitenge kinachoonekana hapo, anaweza tu akani-pm (tangazo nimelipia)
c.c Mshana Jr -KANA- Eli79 Mzigua90 et al
Kuhamasika ni kuweka tangazo kabla Li hajaanza kugombea simu na mimi anko JujuAisee!!
Nazidi kuhamasika.
Weee zawadi nyingine mbona unaunda ujamaa faster, leo bibi yupo mbali hahahhaHuo mzigo kau-deliver yeye mwenyewe in the flesh na ukaupokea wewe mwenyewe in the flesh?
Uko fastaa.. kitenge nimekipenda ila perfume nimeipenda zaidi. Natamani kuja pm nashindwa ila nilifanikiwa kufanya ulichoniambia mama.
Ubarikiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhamasika ni kuweka tangazo kabla Li hajaanza kugombea simu na mimi anko Juju
Sent using Jamii Forums mobile app
Enheeee. How?Hata sasa hivi na udogo wako unaweza. Ask me how.....