3 Idiot : Indian movie

Hii movie ni nzuri sana, na kama mtu bado kwa college vuta muda uiangalie kidogo, utaipenda.
Ila movie nyingi za kihindi kwasasa ni poa, nafikiri hawa producers wao wapo high class, kwa mfano unaweza angalia Slum dog millionaire, nayo ni moja kati ya picha nzuri sana A kihindi!
 
Hahaha RanChoddas Shamaldas Chanchad hii movie n kaly sana inapendwa sana na itaendelea kupendwa
 
Napenda movie za kihindi,....ila hawa majamaa kwenye hii movie nimeona kwenye mitandao kibao wanapondwa wamecopy na kupaste movie ya USA
 
yeah ni movie kali ila hii iliyotoka mwaka mmoja baadaye ndo ilikuwa funika bovu huko india
 

Attachments

  • My_Name_Is_Khan_audio_cover.jpg
    32.6 KB · Views: 163
Virus alikuwa kichaa. Typical TZ's lecturers

When you were sick, did you stop breathing? NO
Did you stop bathing? NO
Did you stop eating? NO

Then why did you decide to stop studying my course?

Virus vichekesho sana aisee.
 
yeah ni movie kali ila hii iliyotoka mwaka mmoja baadaye ndo ilikuwa funika bovu huko india

Hiii movie ninayo yaani nkiitizama lazma nkimaliza hata chakula hakipiti kooni inasikitisha sana....

Sharukhan ni kiboko tema amekutana na kajol ndio kabisaaa..


Pia kuna movie imetoka 2012 inaitwa jab tak hai jaan ya kwake nzuri pia yumo na katrina kaif.....

My favoties

Jism 2
Mujhe dosti karoge
Om shanti om
Aashique 2
Heroine
Kuch kuch hota hai
Kahbi kush khabie kham (best movie)..
Race 2
Cocktail
Dhadkan..
N.k
 

Every thing is fine
 
Nazikubal sana izi zikiwa na shemej yetu Ishwaria Rai. SHABDI and ROBOT. Story zimetulia
 

Sante best. Nimei download kwenye high quality format 1080p. Wikiendi nitaicheki.
 
angalia na prya imposuble pia nao ni mzuri sana. yuko mshakji anavumbua operating system halafu inaibiwa
 
Movie za aamir khan ni nzuri sana hutoboreka kuziangali
 
Napenda movie za kihindi,....ila hawa majamaa kwenye hii movie nimeona kwenye mitandao kibao wanapondwa wamecopy na kupaste movie ya USA

Wamekopi movie gani??
 
Naipenda sana 3 ------. Leo ntaicheki tena.
 
bonge moja la movie ni nzuri sana na inamotivate...chase your dreams and success will follow you
 

If you wont learn a thing atleast you will get to laugh a lot.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…