Sasa kama Tanzania haitosiadia Kenya si watakufa na Njaa, ndio maana wakenya wamejaa Tanzania kumbe wanakimbia njaa kwao?
Wakenya ni njaa ndio inayowasumbua hawana lolote halafu wanajifanya wajanja.
Mtume Muhammad S.A.W alisema adui yako muombee njaa