2ND LEG

Hiyo kazi ndogo sanaa kwa King wa dunia....tumewahi kupiga come back ya goli 4, tukailaza PSG goli 6-1, hao SEVILLA camp nou watakula goli 4, King atapiga sio chini ya goli 2 hadi 3...mark my word!!
 
Hiyo kazi ndogo sanaa kwa King wa dunia....tumewahi kupiga come back ya goli 4, tukailaza PSG goli 6-1, hao SEVILLA camp nou watakula goli 4, King atapiga sio chini ya goli 2 hadi 3...mark my word!!
Juzi juz tu Levante nao walipigwa 3-0baada ya 1st leg kushinda kwao 2-1. Ngoja king Mesşi aje hiyo tarehe 31 patachimbika pale Nou Camp
 
Kweli mmepagawa. Yaani Sevilla mnaifananisha na Levante?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…