DONALD
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 275
- 35
Sehemu ya ghorofa( 2nd Floor) inauzwa kwa anayehitaji apige 0755 927881.
Ina:-
Vyumba 4 vikubwa sana urefu (14 *13 ),Master bed room 1
Dinning room 1
Sitting room 1
Jiko 1
Nyumba ni ya staff mwenzangu wanahamia nje ya nchi so...!
Nyumba iko kwenye usalama,unaingia kwa geti then ndo unaenda kupanda ngazi kwenda hiyo 2nd floor.
karibuni.