hakika chacha wangwe alikuwa mpambanaji wa kweli ndani na nje ya chadema. inasikirisha sana kuona mtu anakufa kifo cha ajabu eti kwa kosa la kutaka tu kugombea nafasi ya mwenyekiti wa chadema. kitendo hicho kilitafsiriwa kuwa ni uasi ndani ya chama na adhabu yake ni kifo