Hivi bado watu mna honga?
Unataka kugundua nini?
Ebu toka usingizini, amka simama wekeza kwenye kesho yako.
Nenda chalinze, kisarawe, Bagamoyo Kiwangwa , nk nk kuna mashamba/viwanja huko.
Kuwekeza kwenye UCHI, ni uchizi na ni umaskini wako wa kesho.
Pumbavu!