25% inamaanisha nini HESLB?

gonz

Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
51
Reaction score
25
WARAKA MAALUMU KWA WAHANGA ELIMU YA JUU NA HESLB

1.Mh mkurugenzi Mkuu Bodi ya mikopo TZ, 25% tunayolipa baada ya kupata matatizo katika vyuo huwa ina maana gani? Kama ndio ruhusa ya kuomba upya mkopo kwanini tunapata shida sana kupata mkopo mpya hata kama vigezo vyote husika tunavyo?

2.Mnaangalia nini zaidi kutambua umasikini wa mwombaji husika wa mkopo? maana mimi ni mwathirika wa tatizo hili toka mwaka 2016 hadi leo kila nikiomba mkopo najikuta kwenye orodha ya wanufaika wapya wa mkopo simo licha ya kufuata vigezo vyote husika vya waombaji nahata KUONGEZEA BARUA YA 25% KWENYE FORM HIYO,

3.Natambua ni wengi sana wanaolia na BODI YA MIKOPO kuhusiana na suala hili ili kutimiza ndoto zao kielimu lakini inaonekana kuwa ni vigumu tena kutokana na umasikini walio nao kumudu gharama za ELIMU YA JUU nhini

4.Naamini kuwa uamuzi wa kuruhusu mchakato wa uombaji mikopo ni jambo la hekima na busara ili kuwezesha uchambuzi yakinifu na kutambua wale wenye uhitaji kwelikweli kutokana na muda ulivo mrefu wa kujiridhisha zaidi kwa wenye uhitaji wa mikopo

5.Naiomba chonde chonde BODI YA MIKOPO kutuwezesha pia sisi 25% tuliomaliza malipo muda mrefu kwani inawezekana kabisa kuwa barua husika za 25% mtakumbana nazo ikiwa ni udhibisho (supporting document0 ya kuitaarifu BODI kuwa nshatimiza SHARTI muhimu na uaminifu wangu wa kukopeshwa tena kama mnufaika mpya,

ATHARI YA KUTOPATA MKOPO

Mamlaka pamoja na serikali husika tambueni kuwa WATANZANIA wengi hawana uwezo wa kumudu gharama za ELIMU YA JUU kutokana na jinsi mahitaji yalivo mengi kwa mwanafunzi kumwezesha kufanya vizuri katika masomo yao.

Kumudu,

1. tution fees
2.practical training
3.Meals and acomodations
4.Stationary

kweli? naomba mtusaidie serikali tutimize pia ndoto zetu na taifa kwa pamoja, tumeshindwa kuendelea na masomo kwa sababu ya kukosa pesa za kuendlea na masomo yetu,

TAFADHALI MIMI NI MHANGA WA TATIZO HILI NILISOMA PCB LAKINI NIMESHINDWA KUENDELEA NA MASOMO YANGU NA NI MTOTO TOKA FAMILIA DUNI KIUCHUMI, MH. RAIS NISAIDIE NA UTUSAIDIE KWA PAMOJA TUWEZE KUTIMIZA NDOTO ZETU NA TAIFA

FORM IV index S.0152.0024.2012, Mobile +255654-459979
 
Umesahau hela uongozi was chuo na tcu
 
We jinsia gani kama wa kike mm ntakusomesha ila sifa uwe mrefu rangi chocolate kingezo kikubwa tako
 
Kwa iyoo mara ya kwanza ulipewa mkopo, unalipa 25asilimia ya nn, ulidisco mkuu au inakuaje
 
Iyo kitu ilishanikuta, nilipata Chuo lakin mkopo nilichelewa Sana kupata wakati Chuo kilifunguliwa November jina la mkopo likatoka March one week before UE na tayat nilishakata tamaa though course work zote niliikua nimefanya. Nilipata kazi mahali maana niliikua na diploma wakat huo nikaarisha mwaka. Izo pesa za board za first semester nliwekewa nachuo nikazitumia. Wakat narud Chuo baada ya miaka 2 nikaone nibadili Chuo nikasome same course lakin ya miaka 3 badala ya 4. Nikaenda ofis za Kanda za loans board nimakuta jamaa mmoja Yuko powa Sana akanielekeza kuhusu iyo 25% vizur then mwisho akanambia nikashaur Kama kijana mwenzangu na sio Kama afisa wa board , Ni ngumu kupewa Tena mkopo hata ukarudisha iyo 25% so komaa tuu Kama unaweza miaka 5 itaisha tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…