Sawa mkuu.. ila mimi ndiyo nilivyo fanya hivyo na nina tazama bure kabisa. Inawezekana kwenye TV ambazo zina inbuilt decoder. Mimi nina tumia Sumsung, kwenye auto search una opt analogue and digital.
Jamaa badala ya kuuliza aelimishwe ana leta maneno ya vijiweni!ananena ukweli..
ila ni kwa smart tv tu!
malalamiko mengi humu yanathibitisha kuwa wengi hawafahamu hiki kitu mkuu la sivyo wasingekuwa wanawabembeleza TCRAJamaa badala ya kuuliza aelimishwe ana leta maneno ya vijiweni!
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Habari yako mkuu ninatumia LG inbuilt decoder, nawezaje kufanya hiyo searching kwa local channels, Msada tafadhali! AhsanteJamaa badala ya kuuliza aelimishwe ana leta maneno ya vijiweni!
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mkuu unataka vya bule kama wale wabunge wakimbizi.Jana niliskia kuwa tcra wameamuru local channels zionyeshwe bure kwenye ving'amuzi vya startimes, ting na continental yani leo tar 21 (kuanzia)..
Cha ajabu leo nilipowasha decoder yangu ya startimes nikakuta tbc1 tu pekee.. nikajiuliza maswali mingi sana... mwishowe nikaamua kinyanyua mkonga wa simu kuwauliza kulikoni ili nitake kujua zaid..
Wakaniambia kuwa ili niendele kupata local channels natakiwa nikabadilishe card kwa gharama ya 25,000tsh kama nitaona usumbufu basi niendelee kulipia 7,000tsh..
Swali?
King'amuzi changu nilikinunua mwaka 2012 wakati huo nilikuwa naaangalia bure local channels zote mpaka hapo walipoanzisha manjilinji yao ya payments.. hivi hiyo technology yao inashindwa kukomands local channels kama mwanzo kuendelea kuwepo ama ni kama wanaendelea kubishana na serikali tu.. 25000 kuajili ya card tu peke yake usawa huu kweli ? Ni system gani wanayotumia hawa watu?..
Ina mana system yao haiwezi kurevert inajua kusetting tu kwa kwenda mbele.. decoder niliinunua 60000tsh enzi hizo plus 25000tsh now inafika 85,000tsh..
Sent using Jamii Forums mobile app
Local news mkuu.. hasa itv.What is so special kwenye hizo local channels? Mizengwe, vituko show,biko au tatu mzuka?
Huku dstv Bado hazijarudi mkuu,, daa tv zote za kenya zinabang kwa hewa, kwa mseven pale, na rwanda kwa kagome... hili tbc1 ni lichafu hata kimuonekana mpaka audio.. KBC ina shine kimuonekano ajabu.Wakuu naona local channel wamerudisha startimes upande wa dish
Kwa wengine huko zimerudi???
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha[emoji13] [emoji13] [emoji13] eti lichafu hadi kimuonekanoHuku dstv Bado hazijarudi mkuu,, daa tv zote za kenya zinabang kwa hewa, kwa mseven pale, na rwanda kwa kagome... hili tbc1 ni lichafu hata kimuonekana mpaka audio.. KBC ina shine kimuonekano ajabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Local news utazipata Jamii Forum
Mkuu naomba unielekeze namna ya kujiunga na kifushi cha chini kabisaJana niliskia kuwa tcra wameamuru local channels zionyeshwe bure kwenye ving'amuzi vya startimes, ting na continental yani leo tar 21 (kuanzia)..
Cha ajabu leo nilipowasha decoder yangu ya startimes nikakuta tbc1 tu pekee.. nikajiuliza maswali mingi sana... mwishowe nikaamua kinyanyua mkonga wa simu kuwauliza kulikoni ili nitake kujua zaid..
Wakaniambia kuwa ili niendele kupata local channels natakiwa nikabadilishe card kwa gharama ya 25,000tsh kama nitaona usumbufu basi niendelee kulipia 7,000tsh..
Swali?
King'amuzi changu nilikinunua mwaka 2012 wakati huo nilikuwa naaangalia bure local channels zote mpaka hapo walipoanzisha manjilinji yao ya payments.. hivi hiyo technology yao inashindwa kukomands local channels kama mwanzo kuendelea kuwepo ama ni kama wanaendelea kubishana na serikali tu.. 25000 kuajili ya card tu peke yake usawa huu kweli ? Ni system gani wanayotumia hawa watu?..
Ina mana system yao haiwezi kurevert inajua kusetting tu kwa kwenda mbele.. decoder niliinunua 60000tsh enzi hizo plus 25000tsh now inafika 85,000tsh..
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha chini kabisa ni lazima uwapigie customer care 0764-700800 then unawatajia account yko.. yani smart card namba yko.. then unamwambia akuhamishe ktk package ya chini ambayo ni 6,000 kama itakuwa imepanda basi ni 7,000...Mkuu naomba unielekeze namna ya kujiunga na kifushi cha chini kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
King'amuzi kipi hichi mkuuMimi nitaangalia Azam TV tu local channels kwa sasa zote ni kama Tbc tu,
Humo nitapata habari za Zbc,Zbc2, Sports channels local na La Liga, Movies, Kbc, ktn, Ubc, Citizen, Indian movies, Geographic Channels, Sinema zetu,BUNGE LIVE/ Zanzibar, Kenya na Uganda international News channels nk..
Sent using Jamii Forums mobile app
Takribani mwezi sasa sijaangalia taarifa ya habari na still sioni tofauti kwan habar zote nazipata kwa wakat through social mediaAisee hizo local channels kwanza sizifahamu
Mie naangalia zangu mpira
Habar nitazipata jamiiforum,social media nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
na mimi nasubiri jibuHabari yako mkuu ninatumia LG inbuilt decoder, nawezaje kufanya hiyo searching kwa local channels, Msada tafadhali! Ahsante
Sent from my iPhone 6s using Tapatalk