Hapana ipo hivi kinachobadilishwa pale ni card tu.. decoda yako inakua ileile.. ile card ukiwekewa ndiyo unapata hizo local channels moja kwa moja na hutalipia tena.. hakuna malipo ya kila.mwezi kwa local channels..
Bora sie wenye startimes zile za mwanzoni dvb-t2!!sijawahi lipia local channel hata siku moja mwaka wa tano sasa!!!Mkuu.kwani wewe una startimes.. kama unayo hizo local channels kwako zinaonyesha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado mkuu hata mimi nashangaa mana cha kwangu ni kile cha silva na ni AVI out put yake.. sasa kuna hawa wengine decoda zao walinunua elfu 22 na wanapata local channels bure..nilishatoa malalamiko haya humu awali kuhusu kudai 25, watu wakaniona mwongo haya sasa, wanataka 25,
yani wametuibia wee afu bado wanataka kutuibia. kweli sisi wajinga
Nataka kumuona beby kabayeMkuu unachokitaka huko local channels ni kipi ambacho hutokipata hapa JF..!!??
Kama alivosema mdau tabu iko pale pale paka ku renew decorderMkuu mimi na tumia kingamuzi chadishi napata star tv na chanel ten na tbc ccm sasa hizo zingine sijui nikwanini wamezitoa
Sent using Jamii Forums mobile app