Ndiyo mkuu card ni lazima ukaibadilishe kwenye ofisi zao.. beba decoda yako nenda nayo 25000tsh mkononi..Mkuu ina maana ukibadili kadi ndo unakua unaangalia local channel bure? ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huu utaratibu ndo kwanza nausikia leo mbona hawajatangaza sasa hawa aiseeeNdiyo mkuu card ni lazima ukaibadilishe kwenye ofisi zao.. beba decoda yako nenda nayo 25000tsh mkononi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeusikia kutoka kwenye helpdesk yao nikashangaa ndiyo mana nikaamua tujadili mahali hapa.. ila hii ya kubadili card nilishaisikia miaka 3 nyuma ilyopita kwenye vipindi vyao tbc1 naona ndipo walipoamua kukazia hapo.Mkuu huu utaratibu ndo kwanza nausikia leo mbona hawajatangaza sasa hawa aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha sawa mkuu... local channels ni tbc1, itv, etv, etv, eatv, clouds, startimes, imaan, mlimani, chanel10, tv tumain n.kAisee hizo local channels kwanza sizifahamu
Mie naangalia zangu mpira
Habar nitazipata jamiiforum,social media nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Dish hakuna kwenye dstv, zuku na azam.. hivi na mimi nauliza kwenye madishi makubwa vipi.. yani yale ya c band.. ya panel 6 ama 8 hivi .. mtu akifunga hili akaachana na kero za hawa wafanya biashara..
Mkuu hata startimes hamna channel za ndani mkuu au n kwangu tuuuDish hakuna kwenye dstv, zuku na azam.. hivi na mimi nauliza kwenye madishi makubwa vipi.. yani yale ya c band.. ya panel 6 ama 8 hivi .. mtu akifunga hili akaachana na kero za hawa wafanya biashara..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwani wasafi na dizzkm tv jeHahaha sawa mkuu... local channels ni tbc1, itv, etv, etv, eatv, clouds, startimes, imaan, mlimani, chanel10, tv tumain n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwangu hakuna mkuu.. ndiyo mana tunajadili hapa wanasema mpk elfu 25...
Mkuu.kwani wewe una startimes.. kama unayo hizo local channels kwako zinaonyesha?Mkuu huu utaratibu ndo kwanza nausikia leo mbona hawajatangaza sasa hawa aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu local channel hazionyeshi ipo tbc tuuuMkuu.kwani wewe una startimes.. kama unayo hizo local channels kwako zinaonyesha?
Sent using Jamii Forums mobile app