Fahamu ongezeko la nauli kwa 24% iliyotangazwa na SUMATRA kwa mabasi ya Mikoani.
Mfano: Dar es salaam kwenda Morogoro nauli ya awali ilikuwa Tsh.6,500.
6,500 = 100%
? = 24%
(6,500 * 24) \ 100
156,000 / 100
1,560.
Hiyo 1,560 ndiyo ongezeko la 24%
Sasa chukua nauli y zamani ya Dar es salaam kwenda Morogoro ambayo ni;
6,500 + 1,560 = 8,060
Hapo nauli ya sasa ya kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro ni Tsh.8,060
Haya kwa Wale wanaoishi mikoa ya mbali mjipange sana sababu Bora maisha kwa kila mlalahoi ndiyo haya!-