Weka vizurLeo nyasi za uwanja wa Kirumba zitawaka moto.. na hii ni pale Mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni, Simba S.C atakapopambana na Toto Africa.
Uzuri wa gemu ya leo ni kua Simba S.C anaenda kuua wanyama wawili kwa 'windo' moja. Hii inaamaa anaenda kutafuna Baba na Mwana.. ambao ni Toto Africa na Yanga Yetu.
Rekodi za Simba S.C na huyu mtoto wa Yanga Yetu, katika VPL msimu huu.. zimeekaaje kaaje?
1. Toto Africa.
Kacheza: mechi 11.
Kashinda: mechi 2 tu.
Kagongwa: mechi 7.
Sare: mechi 2.
Kafunga Magoli: 5 tu.
Kafungwa Magoli: 11.
Nafasi katika ligi: Wa Mwisho [16]
2. Simba S.C
Kacheza: mechi 10 tu.
Kashinda: mechi 8.
Kafungwa: Hakuna [namaanisha mechi 0].
Sare: mechi 2 tu.
Kafunga Magoli: 18.
Kafungwa Magoli: 3 [kiuhalisia ni mawili tu, na hii ni baada ya kutoa goli hewa la Tambwe]
Nafasi katika ligi: Kama Kawaida [Namba 1]
.. na msimamo wa ligi mpaka sasa uko hivi.. [emoji116] [emoji116]
View attachment 422804
Kaa nami uweze kufahamu kila kitakachojiri katika dimba la Kirumba.
Leo mnavurugwa pale shamba la bibiMkuu.. Kipigo nachokiona tunachoenda kumpatia huyu mtoto wa Yanga Yetu.. nadhani itakua fundisho kwa timu za mikoani.
Mpaka sasa katika kikosi cha Simba S.C hakuna majeruhi hata mmoja.. Wanajeshi wote wako tayari kwa mapambano.
Ila kuna ingizo jipya.. Na hii ni baada ya kufanya usajili wa nguvu, ambapo kiungo wa kazi.. Mussa Ndusha kapewa ruhusa ya kuitumikia timu yake.. naimani leo atapata dk. kadhaa.
Leo nyasi za uwanja wa Uhuru zitawaka moto.. na hii ni pale Mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni, Simba S.C atakapopambana na Toto Africa.
Uzuri wa gemu ya leo ni kua Simba S.C anaenda kuua wanyama wawili kwa 'windo' moja. Hii inaamaa anaenda kutafuna Baba na Mwana.. ambao ni Toto Africa na Yanga Yetu.
Rekodi za Simba S.C na huyu mtoto wa Yanga Yetu, katika VPL msimu huu.. zimeekaaje kaaje?
1. Toto Africa.
Kacheza: mechi 11.
Kashinda: mechi 2 tu.
Kagongwa: mechi 7.
Sare: mechi 2.
Kafunga Magoli: 5 tu.
Kafungwa Magoli: 11.
Nafasi katika ligi: Wa Mwisho [16]
2. Simba S.C
Kacheza: mechi 10 tu.
Kashinda: mechi 8.
Kafungwa: Hakuna [namaanisha mechi 0].
Sare: mechi 2 tu.
Kafunga Magoli: 18.
Kafungwa Magoli: 3 [kiuhalisia ni mawili tu, na hii ni baada ya kutoa goli hewa la Tambwe]
Nafasi katika ligi: Kama Kawaida [Namba 1]
.. na msimamo wa ligi mpaka sasa uko hivi.. [emoji116] [emoji116]
View attachment 422804
Kaa nami uweze kufahamu kila kitakachojiri katika uwanja wa Uhuru
Mkuu taarifa za chinichini hawa wakata miwa walipokea mlungula.. Ndo mana ukaona yaliyotokea.. Nami imeniuma sana.. Ila naamini furaha yangu itarejea tena mda si mrefu.Mkuu Sembo jana niliumia sana baada ya kuona timu za kanda ya ziwa kutukamia na kucheza utumbo wakikutana na vyura.Tunahaja ya kuwapiga bila huruma hawa makinda.
Mkuu Simba leo ikishinda nakata mkono wangu wa kushotoLeo nyasi za uwanja wa Uhuru zitawaka moto.. na hii ni pale Mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni, Simba S.C atakapopambana na Toto Africa.
Uzuri wa gemu ya leo ni kua Simba S.C anaenda kuua wanyama wawili kwa 'windo' moja. Hii inaamaa anaenda kutafuna Baba na Mwana.. ambao ni Toto Africa na Yanga Yetu.
Rekodi za Simba S.C na huyu mtoto wa Yanga Yetu, katika VPL msimu huu.. zimeekaaje kaaje?
1. Toto Africa.
Kacheza: mechi 11.
Kashinda: mechi 2 tu.
Kagongwa: mechi 7.
Sare: mechi 2.
Kafunga Magoli: 5 tu.
Kafungwa Magoli: 11.
Nafasi katika ligi: Wa Mwisho [16]
2. Simba S.C
Kacheza: mechi 10 tu.
Kashinda: mechi 8.
Kafungwa: Hakuna [namaanisha mechi 0].
Sare: mechi 2 tu.
Kafunga Magoli: 18.
Kafungwa Magoli: 3 [kiuhalisia ni mawili tu, na hii ni baada ya kutoa goli hewa la Tambwe]
Nafasi katika ligi: Kama Kawaida [Namba 1]
.. na msimamo wa ligi mpaka sasa uko hivi.. [emoji116] [emoji116]
View attachment 422804
Kaa nami uweze kufahamu kila kitakachojiri katika uwanja wa Uhuru
Amini hivyo mkuuDuh.. Maneno hayo?