Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,745
- 239,401
Kuna taarifa za chini kwa chini kwamba eti unajiandaa kufufua chama chako ccm ili umng'oe Mchungaji Msigwa Iringa mjini ,
Nakushauri achana na jimbo hilo , humuwezi Msigwa , jaribu kutafuta jimbo lingine , ulipotoswa kwa mizengwe na ccm 2010 wengi walikuhurumia hata hivyo Msigwa akamgalagaza mgombea wa chama chako , japo halmashauri mlibaki nayo ,
Safari hii ukapewa nafasi uliyoililia kwa muda mrefu sana , tena ukiwa kiongozi wa serikali ( DC wa Wanging'ombe ) ukapambana na RAIA WA KAWAIDA tena aliyewahi kulala selo ( sakata la wamachinga ) ,akakubwaga vibaya sana !
ulipigwa kwa zaidi ya kura 10,000 , mkuu hiki ni kipigo kisichokuwa na mashaka yoyote , kama vile haitoshi ukasalimisha na halmashauri nzima kwa Raia Msigwa .
Kwa heshima na taadhima nakushauri mkuu wangu achana na ubunge wa Iringa , endelea na mambo mengine au utafute jimbo mkoa wa Dodoma .