Kama uliangalia timu ya wanawake ya Ufaransa jana, wasichana wale walicheza kandanda la hali ya juu sana; si ajabu wakazifunga timu zetu zote za daraja la kwanza wakipambanishwa. Timu ya wanawake ya Marekani imekuwa kwa miaka mingi ikicheza vizuri sana na kuwa mabingwa wa dunia mara kadhaa, sijui mwaka huu wakafikia wapi kwa vile wachezaji wake wengi maarufu wameshazaa na wengine kustaafu.Kombe la Dunia la wanawake halina mvuto sana, walipe promo bana lisikike vizuri
Marekani ishajiimarisha kwa kila kitu, michezo yote inayo exist Marekani wanaicheza.Kama uliangalia timu ya wanawake ya Ufaransa jana, wasichana wale walicheza kandana la hali ya juu sana; sijabau wakazifunga timu zetu zote za daraja la kwanza wakipambanishwa. Timu ya wanawake ya Marekani imekuwa kwa miaka mingi ikcheza vizuri sana na kuwa mabingwa wa dunia mara kadhaa, sijui mwaka huu wakafikia wapi kwa vile wachazaji wake wengi wameshazaa na wengine kustaafu.
Usiangalie maumbile yao; angalia jinsi wanavyomudu mchezo. Kipa wa Jamaica alieweza kuzuia penalty na kipa wa Chile aliyepangua mashambulizi zaidi ya kumi golini kwake ni makipa wazuri sana.Mademu wanapiga mpira kama wanaume. Mimi nawaangalia na nina furahia.
Mimi napenda kuliangalia lile kipa la Brazil Barbara Ana mzigooo.