2016 Toyota Harrier Crossover SUV ya kifahari, imara na inayoaminika

2016 Toyota Harrier Crossover SUV ya kifahari, imara na inayoaminika

Joined
Jan 20, 2026
Posts
78
Reaction score
108

Kama kichwa ch habari kinavyojielezea, hii ni moja ya gari nzuri sana za mjapan amabzo kwa hivi karibuni zimeanza kutamba sana hapa nchini TANZANIA​


CC271911_1.jpg
CC271911_7.jpg
CC271911_5.jpg
CC271911_3.jpg





2016 Toyota Harrier ni gari nzuri na inayoaminika kwa wengi kutokana na sifa zake za ubora wa hali ya juu sana.
Ijapokuwa huwa inakumbwa na maradhi hatari ikiwa utashindwa kufuata taratibu zake za utunzaji.

CC271911_6.jpg
CC271911_2.jpg



BEI NA UTARATIBU WA KUAGIZA​


2016 TOYOTA HARRIER! Bei yake ikiwa utaagiza na @morning_joy_motors huwa ni TZS 54.7M, bei ikiwa imejumuisha pamoja na usajili.

Na ukilipia kiasi cha TZS 27.8MIL TU, utaagiziwa gari yako na kiasi kilichobakia utamalizia ndani ya muda wa miezi hadi 36.

Delivery Time: Baada ya malipo ni ndani ya siku 45 – 60 MAXIMUM hadi gari kuwa mikononi mwako.


VIPENGELE MUHIMU VYA 2016 TOYOTA HARRIER (ZSU60)​


1. Utendaji wa Kazi & Utunzaji​



Ina boot kubwa yenye 60/40 split-folding rear seats, ikiwa maalum kwa ajili ya mahitaji ya kifamilia.


CC271911_28.jpg


2. Ufanisi wa Engine & Matumizi ya Mafuta​



Ina 3ZR-FAE 2.0L Valvematic petrol engine, ambayo inakupa 151ps / 193Nm torque, balance ya uhakika yenye lengo la kukuwezesha kiurahisi kwenye mizunguko yako ya kila siku.

Smooth Transmission: Features a CVT transmission ambayo hutoa uendeshaji laini.

2.0L petrol engine hukupa matumizi mazuri ya mafuta zaidi ukilinganisha na model zilizopita. Baadhi ya watumiaji hudai kutumia mafuta ya takribani TZS 24,000/= kutembea hadi kilometa 100,


3. Interior & Practicality​




CC271911_25.jpg


CC271911_27.jpg
CC271911_33.jpg
CC271911_34.jpg

CC271911_26.jpg


Interior yake ni pana zaidi, ikiwa imeboreshwa legroom na headroom. Pia ina boot kubwa pamoja na siti

CC271911_28.jpg



zinazoweza kukunjwa, na kwa model zingine huwa na boot ya kufunguka na kujifunga yenyewe.


4. Usalama​

Hii gari inapokuja suala la usalama haiko nyuma sana kama zilivyo zingine. Inakuja ikiwa na:

  • Airbags sita
  • Stability control
  • Kwenye higher spec models kuna driver assist system

CHANGAMOTO ZA KAWAIDA ZA 2016 TOYOTA HARRIER ZSU60 NA NAMNA YA KUZITATUA​


1. Matumizi Makubwa ya Engine Oil​

Tatizo hili huwapata zaidi watu wanaotumia 2.0L 3ZR-FAE engine.
Hutokana na high negative pressure kwenye intake pipe wakati wa kupunguza kasi, hali ambayo husababisha oil kunyonywa kwenye combustion chambers, na kusababisha oil kutumika kwa wingi.

Solution:

  • Hakikisha unakagua mara kwa mara kiwango cha engine oil
  • Tumia high quality synthetic oil
  • Tatizo likizidi, inashauriwa kubadilisha piston rings

2. CVT Transmission Issues​

Tatizo jingine kubwa la gari hii ni upande wa CVT transmission.

Dalili zake ni pamoja na:

  • Kutetemeka
  • Kusitasita
  • Kuruka gears


Hii hutokea pale ambapo transmission fluid imeharibika.


Solution:

  • Hakikisha unakagua mara kwa mara
  • Usikae muda mrefu bila kubadilisha CVT fluid
  • Tumia specific CVT fluids

3. Kelele au Matatizo ya Suspension za Nyuma​


Unaweza kusikia kelele kama za kutetemeka kutoka kwenye suspension za nyuma.
Tatizo hili linaweza kuashiria:


  • Bush zilizochakaa
  • Au wakati mwingine rear springs zilizokatika

Solution:

  • Kagua mara kwa mara
  • Badilisha bush au struts inapobidi

4. Kuvuja kwa Engine Oil​


Haina tofauti sana na Subaru SJG, SHJ , hii yenyewe oil huanza kuvujishwa mara nyingi kutokea kwenye:


  • Camshaft
  • Crankshaft

Solution:

  • Hakikisha unakagua engine bay mara kwa mara
  • Badilisha seals mapema

Na hiyo ndiyo 2016 TOYOTA HARRIER ZSU60W.
Ukiweza kufuata masharti haya ya utunzaji, wala haiwezi kukusumbua.


KARIBU MORNING JOY MOTORS​

Kuhusu Morning Joy Motors​

Morning Joy Motors tunajihusisha zaidi na ushauri, uelimishaji pamoja na uagizaji wa magari kwa muda wa zaidi ya miaka mitano hadi sasa.

Tunabeba dhamana kubwa ya ubora wa gari ambayo unaweza kuagiza kwetu kutokana na uzoefu wetu pamoja na ushirika wetu mzuri na wataalamu wa magari huko nje ambao kabla ya kulipia gari ni lazima waifuate na kwenda kuikagua kwenye kila eneo, kisha ndio kutupatia report ya kuendelea na utaratibu wa kuiagiza au la.


GUARANTEE​

Tunakuhakikishia ubora na usalama wa hali ya juu sana.

Na ikiwa sisi ndio tutakuchagulia gari na kisha likakuletea shida, kwa kuwa tumebeba dhamana ya ubora wa gari yako:

UTAIRUDISHA KWETU NA UTAREJESHEWA FEDHA YAKO 100% PAMOJA NA FIDIA!

Hii ni kwa sababu TUNAAMINI UBORA na UHAKIKA wa tunachokiagiza, na ndio maana tunajiamini kukupa ahadi hii.
Na haitakuwa kwa maneno tu bali kwa vitendo na maandishi ya kisheria kabisa.

KARIBUNI SANA


MAHALI TULIPO​

TUPO MKOA WA ARUSHA
Kaloleni kwenye Jengo la Arusha Condo Hotel
Lilipopo mkabala na Shalom Church

Office Number 016
Ground Floor

SIMU: 0797113153
(WhatsApp & Normal)


JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP​

Kwa elimu mbalimbali kuhusiana na magari pamoja na uagizaji.

Andika neno “MAGARI” kwenye WhatsApp number:
0797113153


Follow us on Instagram: @morning_joy_motors
Follow us on Facebook: Morning Joy Limited


 
Hivi kuagiza jimny five doors ni bei gani?
 
Back
Top Bottom