shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,329
Habari wadau..
Mwaka umeisha, mwaka wa nyimbo za wagombea kuchezwa hadi harusini.
Mtu niliyemdharau sana na kuamini ni dhaifu mwaka huu nimeona kumbe ni kidume kweli tofaut na nilivyokuwa namfikiria.
Kwa drama zake za kukatana dom na skendo ya kuzama na majina mfukoni.
Na kumpitisha mtu mfumo unaemtaka bila wanachama zaidi 3000 kujua.
Watu wanashtuka game imeshaisha..
Mtoto wa msoga kweli kauzu akiamua
Picha inaonesha mtoto wa Msoga akitoka nje anashangilia Dodoma baada ya kazi kumalizika huku kaka yake wa Masasi akibaki anacheka kuonesha amekubali sarakasi za mwenyekiti.