Pius J. Kiwarya Lema
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 1,097
- 566
TBC ni chombo cha umma kinacholipiwa Na sisi watanzania
kwa nini
Kishindwe na Wawekezaji wa Ndani ya Habari star ITV azam nk ambao wanalipa kodi?
Msingi wa TBC Iilianzishwa kwa ajili gani ?kama siyo huduma ?
Kama
hii Awamu inajinasib iko Nuruni kwa nini inataka
Kufanya KAzi zake gizani ?
Kwa nini upike chakula halafu ulazimishe wengine wale usiku ,
Kwani ni Tulipie kodi TBC ambayo
Inaenda kubagua katika kutoa huduma kwa baadhi yetu watanzania ?
Kwa nini nisiamini huu ni Mpango
wa kuzima mijadala isiyotakiwa kwa kisingizio cha gharama ,
Ili warekodi Na kuondoa ukweli Na kituonyesha
Makapi ??
Nilishasema Kama kuna tone ya
Mabadiliko yaliyobakia hayawezi
kutokea ndani ya mfumo ule ule
Na watua wale wale
Angalia hata wamekosa ujasiri wa kupambana Na ufisadi wanatibua kile wanachoita majipu ?
Hawana ujasiri wa kupambana Na ufisadi
Ndo maana wanaleta NENO la mtaani lisilokuwa Na nguvu kisheria eti Majipu
Kwa nini asitumie neno ufisadi
ambalo liko kisheria ?
Ni usanii tu Hata kama awamu
hii atafanya nini isipopambana Na Ufisadi ikabakia Na kutipua sijui majipu inajidanganya yenyewe !
Huu mwendo anayesubiri haya
anajidanganya
Mabadiliko ya kimfumo !!
Mabadiliko ya kisera !!
Mabadiliko ya kisheria
Taasisi imara sio amri Bali ni msingi usiojali Nani amekalia kiti
Na Baraza LA kutunga sheria( Bunge)
nalo limejaa wale wale ndo wengi
unategemea sheria gani zitatungwa ?
Hivyo Haya TBC ni tone tu kati ya mengi
Ni Miaka mingine mitano ya kumepoteza