mzee shwari?hebu tuletee Magari Mazito mazito kama GMC, Ford, Au VX .... hizi prado mimi sina mapenzi nazo sana. weka na bei nzuri then tutaongea pembeni TUYAJENGE.
Maisha ni hatua kaka/dada,acha nipite pembeni kwa kiwango changu sijafika huko.
hiyoo gar nzur sana Lx na hiyoo nazitamani sana.