Me nakataa Mkuu, ni zile turnovers kwenye qtr 3 za mwanzo ndio ziliwafanya Heat waongoze, Spurs walivyoacha turning the ball over, game ikawa mpya
Na sisi Green Ranger kaanza kufunga points zake za kwanza kwenye qtr ya nne, imagine kama angeanza kufunga mapema, game ijayo I hope hiki kigugumizi cha leo kitakua kimemtoka
Mourinho San Antonio Spurs have won a record 11 game-ones tying Chicago Bulls.....BUT for the last three seasons a team which won game one DIDNT WIN THE CHAMPIONSHIP........
kukiwa na dominance ni vizuri pia kukawepo na ushindani wa maana.....hivi sasa kwa mfano Heat ni mabingwa lakini wanapelekeshwa ile mbaya.......sitaki kuamini eti asipokuwepo Black Mamba LAL au Jordan in Bulls basi gemu ndio iwe interesting.......sasa hivi kuna vijana wanacheza vizuri sana....just watch this season utafurahia tu......
Ogah
Turnover ziliumiza sana Spurs. Kila turnover walilipa gharama za point. Vinginevyo Spurs wangeongoza
LeBron ni mchezaji mwenye uwezo, na ndiye hasa anyefanya safu ya ulinzi ya timu pinzani ku-collapse na akina Wade, Bosh, Butler na wengine wanapata nafasi.
LeBr asipokuwepo uwanjani Miami ni nyanya. Siyo team kama ile iliyokuwa Piston ya akina Billups, Ben Wallace, Rashid Wallace etc ambao walikuchukua ubingwa. Ile ilikuwa na team work. Mwisho wa mchezo hakuna mwenye point 30, kila mmoja ana 15,10, 9 n.k.
Miami ya akina Bosh na Wade haina kazi bila LeBron.