ππ
Mzee una mahesabu ya mbali halafu makali kinoma..!! Nilikuambia nitakufunza budget sivyo..?? Kaa hapa utulie uone hili picha linavyochezeshwa, usiponipa 'salute' basi tena..!!
Heri ya mwaka mpya kwa ambao hatujaona toka mwaka jana.
Niko na hii gari hapa inaitwa Mazda CX-5 ni crossover SUV. Ina Engine ni 2.2 Turbo diesel yenye 175HP ina nguvu na mwendo wa kutosha kupitia skyactiv technology. Iko imported tayari with all duties paid.