Ingekuwa siyo wewe bro. Nungefanya KA utani KA JF. Sasa basi ngoja niwaachie wengine!Heri ya mwaka mpya kwa ambao hatujaona toka mwaka jana.
Niko na hii gari hapa inaitwa Mazda CX-5 ni crossover SUV. Ina Engine ni 2.2 Turbo diesel yenye 175HP ina nguvu na mwendo wa kutosha kupitia skyactiv technology. Iko imported tayari with all duties paid.
Hii gari naiachia kwa bei ya 32 Million ntakupa na file wewe ukafanye usajili tu. Ukilipa 33Millions basi usajili ntakufanyia mwenyewe kabisa. Karibuni kwa mawasiliano zaidi waweza nicheki kupitia 0773411415.
Hii inaitwa kukosoa Kwa staha!Extrovert najua picha zinakuja
Nafanya mazoezi ya kuwa mtu mwema mkuu.Hii inaitwa kukosoa Kwa staha!
si ndio maana amesema 32M.. ingekuwa rangi uipendayo na kioo kiko sawa ingefika M66Ina rangi mbaya halafu kioo cha mbele kimepasuka.
Extrovert hebu urudi haraka umwaibishe shetani hii haiko poaππsi ndio maana amesema 32M.. ingekuwa rangi uipendayo na kioo kiko sawa ingefika M66
Duniani inatakiwa tuishi hivyo mkuu,mapambano,ushindani,majivuni na kujiona Bora kuliko wengine havisaidii kitu Kwa Dunia ya SasaππNafanya maxoezi ya kuwa mtu mwema mkuu.
Tatizo uchokozi huwa hauvumiliki piaπ
Amina kubwaDuniani inatakiwa tuishi hivyo mkuu,mapambano,ushindani,majivuni na kujiona Bora kuliko wengine havisaidii kitu Kwa Dunia ya Sasaππ
Makao makuu kuzurura kwa miguu sio poa kabisa, kwani bado haujavunja kule? Maana naona mwaka umeisha kimyakimya, wakati kikawaida ni lazima kivunjwe kikoba.Kuna mtu nilimuahidi nitamnunulia IST mwaka Jana matokeo yake ukaisha bila bila, huku kwenye 32M ndiyo nitafika Leo, eeh' Jehovah Shama tutie nguvu..!π€
Mac Alpho ππ
ππMakao makuu kuzurura kwa miguu sio poa kabisa, kwani bado haujavunja kule? Maana naona mwaka umeisha kimyakimya, wakati kikawaida ni lazima kivunjwe kikoba.
πππ