JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,383
- 9,840
Siwezi kukubishia hiyo ni experience ya kwako. Wengi wanalalamika matatizo around mileage uliyopo sasa mpaka 100k. Na ni matatizo ambayo yanakuja msururu ndani ya muda mfupi.Mimi naona watu wanaongea tu mimi na bmw 2010 cc 2000 ya 320I ? Nimenunua 2020 zaid ya kumwaga oil ,kubadili brake pad aijawai nisumbua nilinunua ikiwa na km 38000 mpaka sasa nakaribia 80000 na ndio gari yangu kwa kilakitu na before nilikuwa na crown but ilinisumbua sana kwenye ac ilikuwa inauwa compresa but for bmw series sijawai juta
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Watu wengi wanaafford kununua ila ikiharibu spea yoyote uwe umejitosheleza kimfuko.Nimekusoma mkuu, ni kwamba mjerumani hataki ubabaishaji na vihela vya mawazo.
Labda ziwe zinalindwaKadhalika tupambanie kuondoa matuta njiani na kuweka speed cameras kuyalinda magari
Zinajilinda zenyewe zinapiga picha in advance 360° vertical na horizontal
Umasikini wa pesa na elimuAisee huwa napishana na IT zinazoenda kwenye hizo nchi hao jamaa wanasukuma ndinga za ukweli Sana..
Sielewi kwanini Sisi wabongo bado tunakomaa Tu na IST
Sasa huoni hiyo gari umenunua iliyorudishwa nyuma odometer?Mimi naona watu wanaongea tu mimi na bmw 2010 cc 2000 ya 320I ? Nimenunua 2020 zaid ya kumwaga oil ,kubadili brake pad aijawai nisumbua nilinunua ikiwa na km 38000 mpaka sasa nakaribia 80000 na ndio gari yangu kwa kilakitu na before nilikuwa na crown but ilinisumbua sana kwenye ac ilikuwa inauwa compresa but for bmw series sijawai juta
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
C-class na 3 Series ni entry level luxury sedans, wakati Crown ni flagship luxury sedan. Inazidiwa na LS na Century tu kwa Japan.Hii kusema comfortability ya Mercie haiifikii Crown unatafuta ugomvi na Wajerumani halafu mimi mwenyewe sijakuelewa hapo labda unieleweshe zaidi
V8 ina heshima yake jamani. Watu wanahisi excitement yake ni kama vitsIla kwenye V8 Bana sidhani kama kuna gari inaweza kufanana nayo....yale madude ni zaidi ya peponi
Mkuu, unamaanisha gari hata kina S Class?Nimeongelea comfortability tu sio prestige wala durability,mjapani yuko vizuri kwenye comfortability amini usiamini,ukipanda VX V 8 lile la samia ni kama uko peponi,hakuna gari ya mzungu inaifikia kwa comfortability
Hakuna C Class ya kuilinganisha na crown kwa Comfort tuache mahaba ya kishambaC Class ni entry level Mercedes Benz Sedan. E class ndio executive Sedan. Cha ajabu Wajapan wanakimbizwa mpaka na C Class! Hapo ndio utajua kuna Wajapan na Germany machines 😂🙌🏿
Hata S Class iliyokuwa sokoni wakati GRS180 inatoka ilikuwa haitii mguu.Hakuna C Class ya kuilinganisha na crown kwa Comfort tuache mahaba ya kishamba
Hapa tu ndiyo huwa unanifanya nikukubali......320i ya BMW atleast uchukue ya kabla ya 2007 au baada ya 2015 kama pesa ipo.
Kuanzia 2008 mpaka 2014 ukichukua 320i, ukajichongee kabisa na jeneza. N43 engines na N20 engines ni majanga makubwa.
C200 kwa 2010 inakuja na M271 ikiwa na Supercharger kikubwa tu hiyo M271 iwe ni KE18ML na siyo DE18ML
Although pia nayo ina shida kwenye timing chain kama zilivyo engine nyingi za European Makers.
Kila la heri.
Nilitaka nishangae bwana wewe kutokuwepo kwenye huu uzi....Sio Siri BMW 320i zipo nyingi Sana sikuhizi Hata Mimi unanipa mzuka Sana wa kujaribu kuinunua ...
Jamaa yangu kariakoo ameuza Toyota crown na amenunua BMW 320 huwa anaisifia Sana gari yake dhidi ya crown 👑 hata Mimi nakushauri nunua fasta hiyo BMW.
Baada ya miaka 5 mbele wengi tutaingia Tu Kwa mjerumani
Je Bmw x3,2012 X DRIVE 28I engen DBA-WX20 coment engen vipi?Nilitaka nishangae bwana wewe kutokuwepo kwenye huu uzi....
Mkuu mimi hata Baiskeli sina, unaniulizaje kuhusu Engine ya BMW ?Je Bmw x3,2012 X DRIVE 28I engen DBA-WX20 coment engen vipi?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kwamba Crown ya 2010 inaizidi S class ya mwaka huo comfortability? Hebu kuwa serious kidogo mkuu.. tunajua kitu kizuri ni cha kwako ila hapa sasa unayumba ndgHata S Class iliyokuwa sokoni wakati GRS180 inatoka ilikuwa haitii mguu.
GRS180 ilitoka lini?Kwamba Crown ya 2010 inaizidi S class ya mwaka huo comfortability? Hebu kuwa serious kidogo mkuu.. tunajua kitu kizuri ni cha kwako ila hapa sasa unayumba ndg