Mzee baba umemaliza uzi kibabe sana saafDalali sikiliza hii gari ishaletwa humu
dalali mwenzio anaisukuma kwa 10.5M
Car4Sale - Tunauza magari ya aina mbalimbali
Engine: 1NZ vvti Capacity: 1490cc . Location: Shekilango - Dsm . Call: 0719 143475www.jamiiforums.com
Hapa unaweza kuta mwenye gari anataka kama sh ngapi
Huenda mwenye gari anataka hata nane kamili