2005-2015

SI unit

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,953
Reaction score
767
toa yako ya moyoni from 2005-2015..
ari mpya(zaidi), nguvu mpya(zaidi) na kasi mpya(zaidi)
MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA
 
Haya ndio maisha bora aisee, dah pole sana sisi.
 
katika vitu ambavyo watanzania twajivunia ni. kwamba kila mtu ana kwao, na kwako kuna nyumba hata kama ni ya tembe, hakuna anaye lala nje!!! na hakuna watu wanalala kwenye mabox hata kwa slams kama kule kibera,
 
Mkuu watu wanaweza wasikuelewe unaposema watu kulala kwenye mabox. Hali hii mimi niliiona Mumbai India, halafu wahindi wakifika hapa wanajifanya wako juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…