Ni hisia zilizojengeka kwamba akitumia mwanamke gari hutunzika japo kiuhalisia wanawake wengi hawana knowhow ya magari hivyo saa nyingine huisababishia gari matatizo makubwa