Toyota Premio,model 2000, 7A Engine, imetembea japan km 92,000, cc 1800,bei million 8, imelipiwa ushuru na kusajiliwa, haijatembea hapa nyumbani toka imefika hipo showroom.nitwangie namba 0715250540 ama 0773250540
mkuu usigope ni biashara mazungumza yanakuwepo,tukiafikiana tunafanya biashara, vilevile wengine wanaogopa kurisk kama nilivyorisk, vile vile kinachopatikana hapo si kingi kama unavyofikilia.
jamani tuwe wastaarabu hapa kila mtu ana uhuru wa kutangaza biashara...kama umeshindwa tulia ama chapalapa waachieni wenye uwezo msiwakatishe watu tamaa
jamani nimekwama naombeni msaada, gari toka imefika bongo nimeweka showroom kwa mshikaji, lakini bei anayowaambia watu wanatishika, sasa kama kuna mtu anamjuwa mtu anayetafuta corona tuwasilianae nimwachie,ukweli sitii chumvi wala sukari gari hiko bomba,haina tatizo lolote na kodi imelipiwa,tusaidiane kwa hilo tafadhali!
kaka mwaga details hapa, maelezo yako hayatoshi mtu yeyote anaweza kusema hivyo ulivyosema, tafadhali kabla ya mambo mengine weka picha ya gari!!!!!!!!![/QUOT
jamani tuwe wastaarabu hapa kila mtu ana uhuru wa kutangaza biashara...kama umeshindwa tulia ama chapalapa waachieni wenye uwezo msiwakatishe watu tamaa
Ok Mkuu,
Niko serious hapa, naomba nipe majibu katika mambo haya, Gari ni ya mwaka gani? Unaweza kuweka hapa specifications zinazoambatana na hiyo gari? Endapo tunakubaliana kuhusu bei uko tayari kuchukua down payment ya 70% then 30% nikulipe after 2 months? Gari utanipa lakini Registration card utakuwa nayo wewe!

gari ni ya mwaka 2000,Engine yake siyo D4, imetembea japan km 92,000, cc 1800, hiyo down payment ingekuwa bomba kama ingekuwa 90%, hela naziitaji kwa ajili ya kuzungushia, kama huko tayari nitwangie huje iona, hiko bomba sana.