Habari wadau naomba kueleweshwa Kuhusu hii gari Mitsubishi Chariot Glandis FOB ni $536 na CIF ni $1754. Je mpaka niitoe bandarini itanigharimu kiasi gani? Je ukubwa wa CC una effects kwa Fuel consumption? na je spear parts zake zinapatikana?
mh. tegemea negative advice maana watz hakuna gari ya maana kwao zaidi ya toyota tena old tecno ikiwq D4 hata kama ni toyota utaambiwa haifai, tafuta yenye injini kavu, ha ha haaa we subir