Ndugu wanaJF,
Kama kuna mtu wa TCU humu au anayejua naomba anieleze sababu za msingi zilizosababisha TCU kuamua kututwisha wanafunzi wa vyuo vikuu mzigo wa kuwalipa 20,000/=. Mikopo yenyewe hakuna, hali ya maisha ngumu hata ada zinasumbua kwa continuous students halafu bado mnatuongeza mizigo yenu!?? Seriously? Au ndo mnatusomesha namba!?